Skip to content
- Malipo hayarudishwi baada ya order kuthibitishwa.
- Mwanafunzi lazima afuate darasa kwa heshima.
- Access ya kozi ni kwa akaunti moja tu.
- Hii ni elimu ya dini online; tafadhali thubutu kushirikiana kwa heshima.
- Ibn Jariir Online Classes hutoa mafunzo ya Kiislamu kwa njia ya mtandao kwa kutumia madarasa ya moja kwa moja au maudhui ya kujifunza mtandaoni.
- Malipo ya kozi hufanyika kabla ya mwanafunzi kupewa ruhusa ya kujiunga na darasa.
- Baada ya kuthibitisha malipo, mwanafunzi atapokea maelekezo ya kujiunga na darasa kupitia barua pepe au WhatsApp.
- Malipo yaliyofanyika hayatarudishwa isipokuwa pale ambapo kutakuwa na sababu maalum itakayokubaliwa na uongozi wa Ibn Jariir Online Classes.
- Mwanafunzi anatakiwa kutumia akaunti yake binafsi na hairuhusiwi kushirikisha wengine bila ruhusa.
- Ibn Jariir Online Classes ina haki ya kurekebisha masharti haya wakati wowote ili kuboresha huduma.