Home

Jifunze Qur’an Kwa Urahisi Na Masomo Mengine Ya Sheria.

“Kutoka kusoma hadi kuelewa na kuishi Uislamu”

Masomo ya Qur’an

• Jifunze usomaji sahihi wa Qur’an hatua kwa hatua

Live Classes

Jifunze na mwalimu moja kwa moja kupitia mtandao

Masomo Mbalimbali

Aqidah, Fiqh, Lugha ya Kiarabu na masomo mengine ya Kiislamu

Kwa nini uchague Ibn Jariir Online Classes?

Tunatoa mafunzo ya Kiislamu kwa njia ya mtandao kwa ubora na uaminifu. Masomo yetu yanakusaidia kujifunza Qur’an, Aqidah, Fiqh na Lugha ya Kiarabu kwa urahisi ukiwa nyumbani.

Masomo Yanayopatikana

Scroll to Top