Refund and Returns Policy
Katika Ibn Jariir Online Classes tunatoa huduma za elimu ya Kiislamu kwa njia ya mtandao.
- Malipo ya Kozi
Baada ya mwanafunzi kufanya malipo na kuthibitishwa, atapewa ufikiaji wa kozi aliyolipia. - Sera ya Refund
Kwa sababu kozi zetu ni huduma za kidigitali (online classes), malipo hayatarejeshwa baada ya mwanafunzi kupata ufikiaji wa kozi. - Tatizo la Kiufundi
Ikiwa mwanafunzi atapata tatizo la kiufundi katika kupata kozi, tafadhali wasiliana nasi ili tusaidie kutatua tatizo hilo. - Mawasiliano
Kwa maswali kuhusu malipo au kozi tafadhali wasiliana nasi kupitia:
Email: admin@ibnjariironlineclasses.org
WhatsApp: +255 620 643 412
