Karibu kwenye Ibn Jariir Online Classes! Hapa utapata masomo ya dini mtandaoni kwa urahisi. Tuna walimu watakaoweza kutusaidia inshaallah katika kutufundisha elimu za kisheria na elimu za lugha kwa msaada wa Allah عز وجل ili kwa wanafunzi wote haswaa wale wanoanza sasa katika elimu.